Na Mwandishi wetu
Rome, Italy 31/03/2023
Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Hamis Ulega akikabidhisha Mpango Mkuu wa Uvuvi kwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kilimo, Chakula, Mifugo na Uvuvi Duniani Mhe. Qu Dongyu wakati akiwa Mgeni Rasmi katika Mkutano Mkuu wa Kufunga Mpango wa Uvuvi wa IYAFA leo hii mjini Rome.