0 0
Read Time:39 Second

โ€œMtatishwa sana ndugu zangu Watanzania lakini simameni imara, najua wapo baadhi ya watanzania hata wameondoka ndani ya nchi na kukimbilia maeneo mengine na kwenda kuchanjwa na walikochanjwa huko wamekuja huku wametuletea corona ambayo ni ya ajabuajabu simameni imara.โ€ JPMโ€œSitegemei kutangaza hata siku moja kuwa tunajifungia (lockdown) kisa Corona, ila tutaendelea kuchukua tahadhari za kiafya ikiwa ni pamoja na kujifukiza huku unamuomba Mungu unaswali, unasali huku unapiga zoezi la kulima ili ule vizuri ushibe, Corona ashindwe kuingia mwiliniโ€-Rais Magufuli.

โ€œChanjo hazifai kama Wazungu wangekuwa na uwezo wa kuleta chanjo, hata chanjo ya UKIMWI ingekuwa imeshaletwa, chanjo ya kifua kikuu ingekuwa kifua ingeshaondoka, hata chanjo ya malaria ingekuwa ishapatikana hata chanjo ya kansa ingekuwa imeshapatikana, lazima watanzania tuwe waangalifu kwa mambo ya kuletewaย  letewa,โ€ Rais wa Tanzania, John Magufuli

Happy
Happy
0 %
Sad
Sad
0 %
Excited
Excited
0 %
Sleepy
Sleepy
0 %
Angry
Angry
0 %
Surprise
Surprise
0 %