0 0
Read Time:34 Second

WU® MEDIA 13/02/2023 Rome

Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Italy, Mh Mahamoud Thabit Kombo akiwa Pamoja na Ujumbe wa Tanzania wakiwemo mawaziri wawili na Katibu wakuu kutoka serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na SMZ, Leo siku ya jumatatu wamekutana na Rais wa IFAD Mhe. Alvaro Lario mjini Rome Italy. Ujumbe huo Mzito wa Tanzania uliowasili siku ya jumapili, upo Nchini Italy kuhudhuria Mkutano wa 46 wa Maendeleo ya KILIMO Duniani IFAD.

Rome
Rome
Rome
Rome

The annual Governing Council is IFAD’s main decision-making body. The forty-sixth session, taking place on 14 and 15 February 2023, will focus on “Accelerating Action for Food Security”.

Happy
Happy
0 %
Sad
Sad
0 %
Excited
Excited
0 %
Sleepy
Sleepy
0 %
Angry
Angry
0 %
Surprise
Surprise
0 %