
Kwa niaba ya Watanzania waliokwama hapa Afrika Kusini tumefanikiwa kupata basi binafsi ili kurudi Tanzania.Hii ni jitahada binafsi wakati tunasubiri jibu la serikali kuhusu msaada kutoka serikalini.Hii inaweza kuwa ndio safari ya mwisho kwa basi.Gharama za basi kwa mtu mmoja ni R2800.00 mpaka Nakonde/Tunduma mpaka Zambia na Tanzania (kama hakuna mabadiliko kwa wenye mabasi kwa sheria ya kupakia 70%)Anayehitaji huduma hii atajilipia kwa gharama zake mwenyewe.Ili kupata idadi sahihi, kwa wale ambao wapo tayari, tafadhali jiorodheshe kupitia link hapo chini.Hii ni link mpya inayohitaji taarifa zaidi kuliko Ile ya mwanzo
TUNAOMBWA TUJAZE HARAKA ILI KUPATA TAARIFA ZINAZOTAKIWA KWA AJILI YA VIBALI Kama mpo Familia yani zaidi ya mmoja inabidi urudie na kuweka taarifa ya kila mwana Familia kama watoto ili kupata idadi kamili kwa ajili ya vibali pia.
Link ya kujiorodhesha
Follow this link to join my WhatsApp group: https://chat.whatsapp.com/FFEnMP8eO8hKvGj3UkBTpl
Link ya kujiunga kwa group la safari 👆
Kwa wale wasio na passport andika 0000 kwenye Namba ya passport.
Taratibu za kupata Hati ya dharura ya safari ubalozini itafuatwa
Naomba tuitume na kwa wengine wanaohitaji hii huduma kwa sasa.
Ili kupata vibali mapema tujitahidi kujiorodhesha mapema.
Tutatoa maelekezo ya malipo baada ya kupata idadi kamili
ANGALIZO : Kwenye sehemu za tarehe gonga 2020 ili uweze kuchagua mwaka sahihi kwanza.
Alex Minja
Katibu TACOSA
23 July 2020









