MALKIA WA MIPASHO BI KHADIJA KOPA ATAKUWEPO MJINI NAPOLI SIKU YA TAREHE 25 DECEMBER 2011 KATIKA SHOW YA NGUVU KWA AJILI YA X-MASS. NI MARA YA KWANZA MSANII WA TAARABU KUFANYA BURUDANI MJINI NAPOLI-ITALY. WATANZANIA WOTE KILA PEMBE YA ITALY MNAKARIBISHWA SANA BILA KUKOSA KWANI KIINGILIO NI BURE!!!!
MAHALA: BUFFALO CLUB
MUDA: KUANZIA SAA 8:30 USIKU MPAKA KUCHEE!