0 0
Read Time:19 Second

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bw. John M. Haule, akipokea msaada wa fedha kiasi cha Sh. 1,118,600.00/- kutoka kwa Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Zambia, Bibi Justa Nyange, kwa ajili ya waathirika wa ajali ya Meli ya MV Spice iliyotokea Zanzibar mwezi Septemba, 2011. Msaada huo umetolewa na Watanzania wanaoishi nchini Zambia.  FOREIGN AFFAIRS

WABONGO UGHAIBUNI
Happy
Happy
0 %
Sad
Sad
0 %
Excited
Excited
0 %
Sleepy
Sleepy
0 %
Angry
Angry
0 %
Surprise
Surprise
0 %