0 0
Read Time:21 Second
KATIKA fujo zilizotokea hivi karibuni Zanzibar, kila mmoja atakuwa na rai yake kulingana na jinsi anavyoyaangalia mambo.Ila kama utapata wasaa jaribu usome “HOJA YA MDAU KUTOKA ZENJY” aliyoituma kwenye blog ya Michuzi 29/05/2012.
Ni muda mchache uliopita nilimaliza kusoma hoja hiyo na bila kuchelewa nikajikuta napenda na wengine waisome.
Namuomba Mungu atupe hekima,atupunguze jazba katika maamuzi na atuepushe na yale yanayotokea NIGERIA(Amin)

KAYU LIGOPORA

WABONGO UGHAIBUNI
Happy
Happy
0 %
Sad
Sad
0 %
Excited
Excited
0 %
Sleepy
Sleepy
0 %
Angry
Angry
0 %
Surprise
Surprise
0 %