0 0
Read Time:16 Second
Selyan Samson Ene Sabore

Mtanzania mwenzetu; Selyan Samson Ene Sabore (wa Tøyen, Oslo) amefariki leo jioni nchini Finland alikokuwa kwenye mapumziko na marafiki zake. Selyan alikuwa mazoezini akaanguka na kuzimia kufa (comma) Jumamosi 17 Novemba. Bahati mbaya hakuamka na leo Mwenyezi Mungu ameichukua roho yake. Tunazidi kuwajulisha mipango inavyoendelea. Mwenyezi Mungu Amweke Pema…Ameen!

WABONGO UGHAIBUNI
Happy
Happy
0 %
Sad
Sad
0 %
Excited
Excited
0 %
Sleepy
Sleepy
0 %
Angry
Angry
0 %
Surprise
Surprise
0 %