Read Time:23 Second
Watanzania Ujerumani kusherekea miaka 49 ya Muungano |
UMOJA wa Watanzania Ujerumani (UTU) unatarajia kufanya sherehe za miaka 49 ya Muungano
wa Bara na Visiwani, kama linavyoonekana tangazo unatarajia kufanya sherehe hizo Mjini Kolon,
Siku ya Jumamosi 27.04.2013. Watanzania wote na marafiki wa Tanzania mnaoishi ndani na nje Ujerumani mnakaribishwa.

“Umoja ni Nguvu! Utengano Ni Udhaifu” Chereko Chereko na mwenye mwana Watanzania jitokezeni kwa wingi. Kwa mawasiliano zaidi at kamati.utu@googlemail.com
simu +49(0)1737363422
simu +49(0)1737363422
WABONGO UGHAIBUNI