0 0
Read Time:1 Minute, 11 Second

Kwa niaba ya Watanzania waliokwama hapa Afrika Kusini ubalozi umefanikiwa kupata basi la bure ili kurudi Tanzania kupitia shirika la I.O.M (UN) Masharti na mwongozo wa shirika la I.O.M kufuatwa kama yatakavyotolewa. Hii ni jitahada za ubalozi kuhakikisha Watanzania wanaohitaji huduma hii katika wakati huu mgumu. Ili kupata idadi sahihi, kwa wale ambao wapo tayari, tafadhali jiorodheshe kupitia link hapo chini. *TUNAOMBWA TUJAZE HARAKA ILI KUPATA TAARIFA ZINAZOTAKIWA KWA AJILI YA VIBALI* Kama mpo Familia yani zaidi ya mmoja inabidi urudie na kuweka taarifa ya kila mwana Familia kama watoto ili kupata idadi kamili kwa ajili ya vibali pia. https://docs.google.com/forms/d/e/1FAIpQLSeCzTMZXsWafZtDftKhg_YNkxDKPsJcgfE8Rb8d0uH4Fsv1ng/viewform?usp=pp_url Link ya kujiorodhesha 👆 Bonyeza hapa kujiunga na WhatsApp group: https://chat.whatsapp.com/DkVa8A99lnO21qzrVPVdgP Link ya kujiunga kwa group la safari 👆 Kwa wale wasio na passport andika 0000 kwenye Namba ya passport. Taratibu za kupata Hati ya dharura ya safari ubalozini itafuatwa. Naomba tuitume na kwa wengine wanaohitaji hii huduma kwa sasa. Ili kupata vibali mapema tujitahidi kujiorodhesha mapema. ANGALIZO : Kwenye sehemu za tarehe gonga *2020* ili uweze kuchagua mwaka sahihi kwanza. Kwa Maelezo zaidi wasiliana na ubalozi kupitia Namba 0123424371 Maafisa wa ubalozi Rosemary Jairo 0664229998 Richard Lupembe 0849841714 Kwa niaba ya Ubalozi na IOM N.B Tafadhali zingatia kuwa TACOSA haihusiani na tatizo au masharti yeyote yatayohusiana na hili BASi TACOSA inatoa taarifa tu kwa waTanzania wanaotaka kusafiri bure

WABONGO UGHAIBUNI
Happy
Happy
0 %
Sad
Sad
0 %
Excited
Excited
0 %
Sleepy
Sleepy
0 %
Angry
Angry
0 %
Surprise
Surprise
0 %