0 0
Read Time:24 Second

Dada Edith Peter Oyebade ni diaspora mkazi wa London Uingereza anajishughulisha na ujasiriamali wa kilimo cha pilipili

Yuko London Leyton hana Duka kwa sababu mzigo wake ana  supply kwa jumla ni Diaspora tuu ndio anawauzia reja reja.

 Lakini kuanzia week ijao atakuwaa eneo analopatikana mara nyingi maana atakuwa na Cold Room na anaweza kupanga mda atakaokuwa pale kama mtakuwa unaitaji chochote wakazi wa London UK
Sambamba na pilipili Edith anauza pia kahawa ya Tanzania

Tumuunge mkono

WABONGO UGHAIBUNI
Happy
Happy
0 %
Sad
Sad
0 %
Excited
Excited
0 %
Sleepy
Sleepy
0 %
Angry
Angry
0 %
Surprise
Surprise
0 %