0 0
Read Time:27 Second

Katika kukuza uchumi wa Taifa nguvu za watu zinahitajika video hii moja wapo Hawa wasichana waliokusanyika kuendeleza ajira zaidi wanataka utaalamu zaidi na njia ya kukuza Masoko yao ya bidhaa pamoja na yote ubia wa kibiashara ili kukuza mtaji na kuendeleza biashara hiyo Wana Diaspora wa nje pia wanaweza kuungana ndugu zao kuwapa taalumu zaidi na kuungana pamoja kifedha jee Diaspora ina nafasi gani hapa kuona maendeleo ya ndugu zetu hawa huko Zanzibar Tanzania
Tanzania Diaspora ndio kigezo kizuri pia kuekeza nyumbani kwa wana Diaspora wenyewe na ndugu zao
Toa maoni yako

Happy
Happy
0 %
Sad
Sad
0 %
Excited
Excited
0 %
Sleepy
Sleepy
0 %
Angry
Angry
0 %
Surprise
Surprise
0 %