0 0
Read Time:43 Second

Kader Alassane

“I’d like through this song to tell my siblings there are still good people on this earth. People we can count on and the world isn’t as crappy as we think. Forgive me if your name is not mentioned in this song because you are also a good Gbeto.
Like and share my valuable gbetos.
KADER

Music: Kader Alassane
Video: Kader Alassane
To Loīc Martin.

Kader Alassane ni mzaliwa wa Benin Republic West Africa lakini pia ana damu ya TANZANIA ,anaishi Paris France. Kader ni full Artist, msanii ,song writer,music producer,Actor, film maker, director yaani ni mgodi unaotembea. Huyu ndie producer wa ngoma ya Diamond Platnumz iliyopikwa katika studio za SEE RECORDS Napoli Italy KIZAIZAI, Kader pia amesha tengeneza ngoma moja ya Ali Kiba inaitwa Mi Nimo ambayo haikutoka rasmi.,Kader alitengeneza video ya Dogo Aslay ngoma inayoitwa NIWENAWE Feat. TEMBA YOUTUBE

Happy
Happy
0 %
Sad
Sad
0 %
Excited
Excited
0 %
Sleepy
Sleepy
0 %
Angry
Angry
0 %
Surprise
Surprise
0 %