0 0
Read Time:55 Second

TUKUTANE #ZOOM
EQUITY BANK
#DIASPORA

Huduma zinazotolewa na Equity Bank kwa Diaspora ni pamoja na Diaspora Banking inayolenga kujenga daraja na kuwapa fursa mbalimbali za kibenki Watanzania wote wanaoishi ughaibuni; huduma ya Uhuru Account,inayobeba ndani yake akaunti ya akiba pamoja na Akaunti ya biashara kwa Watanzania wenye biashara zilizosajiliwa nyumbani;na huduma ya mikopo ya Mortgage ambayo hutoa mikopo yenye riba na masharti nafuu kwa ajili ya kuwasaidia Diaspora kujenga,kununua nyumba au viwanja.
Hii ni nafasi nzuri kwa Diaspora kupata uwanja mpana wa kuchagua huduma wanazotaka kutoka benki ya Equity.
Mnakaribishwa kwenye mkutano huu ulioandaliwa kwa ajili ya kutoa muhtasari wa huduma hizo pamoja na kujibu maswali, mkutano huu kupitia ZOOM ni mwanzao wa mikutano itakayokuwa ikifanywa na Equity Bank kadiri itakavyo onekana inafaa kwa wakati.
Karibuni sana.
EQUITY BANK is inviting you to a scheduled Zoom meeting.

Topic: UWEKEZAJI NA UHURU DIASPORA ACCOUNT
Time: Sep 26, 2020 SAA KUMI NA NUSU JIONI MPAKA SAA KUMI NA MBILI NA NUSU JIONI SAA ZA TANZANIA. KARIBUNI SANA DIASPORA

Join Zoom Meeting
https://us04web.zoom.us/j/6099664436…

Meeting ID: 609 966 4436
Passcode: fbn88W

DOREEN RAPHAEL
EQUITY BANK

Happy
Happy
0 %
Sad
Sad
0 %
Excited
Excited
0 %
Sleepy
Sleepy
0 %
Angry
Angry
0 %
Surprise
Surprise
0 %