UGHAIBUNI#DIASPORA#EquityDiasporaBanking #equitybanktz Karibuni mjiunge na #EQUITYDIASPORABANKING Karibu upate fursa ya kufungua Account yako ya Bank na ufaidike na fursa kemkem maalumu kwa Diaspora. Naitwa Doreen Raphael Mwanjonde nafanya kitengo cha Diaspora banking #Equitybank – Kitengo maalumu kwa ajili ya Watanzania wanaoishi ughaibuni kitengo hiki kina dhumuni la kuwapa Huduma za kibenki Diaspora wote kwa Gharama Nafuu kabisa. Account yetu ya Uhuru ni ya kuweka akiba ambayo haina makato ya kila mwezi, wala Gharama za kufungua, Account hii iko kwa currency kubwa zote kama Usd, Euro, Pound na Tzs hivyo unayo nafasi ya kuchagua hata currency zote kufuatana na mahitaji yako. #EquityBank inashirikiana na Many Remitance patners kuhakikisha unaweza kutuma pesa kwa gharama nafuu kuja kwa account yako moja kwa moja, utaweza kutuma kupitia World remit, sendwave, moneygram , western union and many more to come#kufungua account1.utajaza forms then utazituma kwa email hii: tanzanians.abroad@equitybank.co.tzpamoja na copy ya passport yakoTafadhali zingatia KANUNI MUHIMU ZA GROUP:POST ZA AINA YOYOTE ZISIZO NA MAHUSIANO NA #EQUITYBANK HAZIRUHUSUWI, HIVYO BASI TUNAOMBA WANA GROUP WOTE KUHESHIMU KANUNI HIYO ILI TUSITOKE NJE YA DHUMUNI LA UWEPO WETU HUMU. Asanteni sana na karibuni wote #Livegloballybanklocallyhttps://chat.whatsapp.com/GkBDjgyRdw0D0Szjm6LRZ7
Read Time:59 Second