0 0
Read Time:41 Second

DICOTA (Diaspora Council of Tanzanians in America)

Rais wa DICOTA, Dkt Frank Minja na Mh Neema Lugangira MB wakikabidhi PULSE OXIMETERS (Vipima Oksijeni) 108 kwa Mh Dkt Festo Dugange, Naibu Waziri OR TAMISEMI huko Dodoma Leo Aprili 21, 2021. Vifaa hivi hupima kiwango cha hewa oksijeni mwilini, hasa kwa wagonjwa wenye changamoto za upumuaji. Vifaa hivi vitapelekwa hospitali za wilaya na vituo ya afya katika mikoa 11 Tanzania Bara. Tunawashukuru mno wadau wote na kamati ya DICOTA ya UVIKO-19 TZ Response Team kwa kufanikisha zoezi hili.

Pichani, kutoka kushoto
Dkt Frank Minja, Rais wa DICOTA, Mhe Dkt Festo Dugange, Naibu Waziri OR TAMISEMI, Dkt Ntuli Kapologwe, Mkurugenzi wa Idara ya Huduma za Afya TAMISEMI, Dkt Grace Maghembe, Naibu Katibu Mkuu Afya TAMISEMI na Mhe Neema Lugangira MB Viti Maalum Kundi la Asasi za Kiraia (NGOs) Tanzania Bara

Happy
Happy
0 %
Sad
Sad
0 %
Excited
Excited
0 %
Sleepy
Sleepy
0 %
Angry
Angry
0 %
Surprise
Surprise
0 %