
Read Time:11 Second
KURUNZI YA DOMO ZEGE!
Unapofika wakati wa kusamehe Kimsingi huwa Tunapaswa kuwasamehe wengine!
“Hii siyo kwa sababu wote wanaosamehewa huwa wanastahili msamaha bali kwasababu wakati mwingine tunasamehe ili kupata amani ya mioyo yetu!”
Omwami Mei 27, 2021








