0 0
Read Time:15 Second

Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Makongoro Nyerere amethibitisha kutokea kwa kifo hicho.
Mheshimiwa Makongoro amesema, Sophia ni mtoto wa kaka yake marehemu, John Nyerere.
“Sophia alikuwa na familia, hivyo tutakaa pamoja kufahamu namna mazishi yatakavyofanyika,” amesema Makongoro.

Hayati Baba wa Taifa akiwa na Sophia wakati wa uhai wake.
Happy
Happy
0 %
Sad
Sad
0 %
Excited
Excited
0 %
Sleepy
Sleepy
0 %
Angry
Angry
0 %
Surprise
Surprise
0 %