Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan Agosti 1,2021 ameteua Wakurugenzi watendaji wa Halmashauri za Jiji, Manispaa, Miji na wilaya kama ifuatavyo;
MKOA WA ARUSHA
Dkt. John Kurwa Marco Pima -Jiji la ArushaZainab Juma Makwinya -Wilaya ya MeruSeleman Hamis Msumi -Wilaya ya ArushaJuma Mohamed Mhina -Wilaya ya NgorongoroStephen Anderson -Wilaya ya LongidoRaphael John Siumbu -Wilaya ya MonduliKaria Rajabu -Wilaya ya Karatu
2. MKOA WA DAR ES SALAAM NA JINA KAMILI HALMASHAURI
Elasto Nehemia Kiwale -Manispaa ya KigamboniBeatrice Rest Dominuo Kwai -Manispaa ya UbungoJumanne Kiango Shauri -Jiji la IlalaHanifa Suleiman Hamza -Manispaa ya KinondoniElihuruma Mabelya -Manispaa ya Temeke
3. MKOA WA DODOMA NA JINA KAMILI HALMASHAURI
Yusuph Mustafa Semwaiko -Wilaya ya KondoaPaul Mamba Sweya -Mji wa KondoaSiwema Hamoud Juma -Wilaya ya ChembaAthumani Hamisi Masasi -Wilaya ya BahiDkt. Semistatusa Hussein Mashimba- Wilaya ya ChamwinoDkt. Omary Athumani Nkulo -Wilaya ya KongwaMwanahamisi Haidari Ally -Wilaya ya MpwapwaJoseph Constantine Mafuru- Jiji la Dodoma
4.
MKOA WA GEITA: NA JINA KAMILI HALMASHAURI
5. MKOA WA IRINGA: NA JINA KAMILI HALMASHAURIBernard Maurice Limbe Manispaa ya IringaBashir Paul Mhoja Wilaya ya IringaHappiness Raphael Laizer Mji wa MafingaLain Ephrahim Kamendu Wilaya ya Kilolo TanguZaina Mfaume Mlawa Wilaya ya Mufindi
6. MKOA WA KAGERA: NA JINA KAMILI HALMASHAURI
7. MKOA WA KATAVI: NA JINA KAMILI HALMASHAURISophia Juma Kambuli Manispaa ya MpandaMohamed Ramadhani Ntandu Wilaya ya MsimboCatherine Michael Mashalla Wilaya ya MpimbweTeresia Aloyce Irafay Wilaya ya MleleShaban Juma Juma Wilaya ya Tanganyika
8. MKOA WA KIGOMA: NA JINA KAMILI HALMASHAURI
Joseph Kashushura Rwiza Wilaya ya KasuluDollar Rajab Kusenge Mji wa KasuluNdaki Stephano Mhuli Wilaya ya KakonkoRose Robert Manumba Wilaya ya KigomaDeocles Rutema Murushwagire Wilaya ya KibondoZainab Suleiman Mbunda Wilaya ya UvinzaEssau Hosiana Ngoloka Wilaya ya BuhigweAthmani Francis Msabila Wilaya ya Kigoma Ujiji
9. MKOA WA KILIMANJARO:NA JINA KAMILI HALMASHAURI
Kastori George Msigala Wilaya ya MoshiGodwin Justin Chacha Wilaya ya RomboAnnastazia Tutuba Buhamvya Wilaya ya SameUpendo Erick Mangali Wilaya ya SihaDionis Maternsus Myinga Wilaya ya HaiMwajuma Abbas Nasombe Wilaya ya MwangaDr. Rashid Karim Gembe Manispaa ya Moshi
10. MKOA WA LINDI:NA JINA KAMILI HALMASHAURI
George Mbilinyi Wilaya ya MtamaJuma Ally Mnwele Manispaa ya LindiEston Paul Ngilangwa Wilaya ya KilwaTina Emelye Sekambo Wilaya ya LiwaleEng. Chionda Ally Mfaume Wilaya ya NachingweaFrank Fabian Chonya Wilaya ya Ruangwa
11. MKOA WA MANYARA:NA JINA KAMILI HALMASHAURISamweli Warioba Gunza Wilaya ya SimanjiroJohn John Nchimbi Wilaya ya KitetoAnna Philip Mbogo Wilaya ya BabatiYered Edson Myenzi Mji wa MbuluJenifa Christian Omolo Wilaya ya Hanang’Dr. Zuweina Kondo Mji wa BabatiAbubakar Abdullah Kuuli Wilaya ya Mbulu
12. MKOA WA MARA:NA JINA KAMILI HALMASHAURIEmmanuel John Mkonongo Mji wa BundaFrancis Emmanuel Namaumbo Wilaya ya RoryaPalela Msongela Nitu Wilaya ya MusomaGimbana Emmanuel Ntavyo Mji wa TarimeBosco Addo Ndunguru Manispaa ya MusomaPatricia Robbi John Wilaya ya ButiamaSolomon Isack Shati Wilaya ya TarimeChangwa Mohammed Mkwazu Wilaya ya BundaKivuma Hamis Msangi Wilaya ya Serengeti
13. MKOA WA MBEYA:NA JINA KAMILI HALMASHAURIStephe Edward Katemba Wilaya ya MbeyaAmede Elias Andrea Ngwadidako Jiji la MbeyaEzekiel Henrick Magehema Wilaya ya KyelaMissana Kalela Kwangura Wilaya ya MbaraliTamim Hamad Kambona Wilaya ya ChunyaLoema Peter Isaaya Wilaya ya BusokeloRenatus Blas Mchau Wilaya ya Rungwe
14. MKOA WA MOROGORO:NA JINA KAMILI HALMASHAURISaida Adamjee Mahungu Wilaya ya UlangaEng. Stephen Mbulili Kaliwa Wilaya ya MlimbaLena Martin Nkaya Mji wa IfakaraHassan Njama Hassan Wilaya ya MvomeroKisena Magina Mabuba Wilaya ya KilosaRehema Said Bwasi Wilaya ya MorogoroAsajile Lucas Mwambambale Wilaya ya GairoJoanfaith John Kataraia Wilaya ya MalinyiAlly Hamu Machela Manispaa ya Morogoro
15. MKOA WA MTWARA:NA JINA KAMILI HALMASHAURI
Col. Emanuel Harry Mwaigobeko Manispaa ya MtwaraThomas Edwin Mwailafu Mji wa NanyambaErica Evarist Yegella Wilaya ya MtwaraDuncan Golden Thebas Wilaya ya NewalaApoo Castro Tindwa Wilaya ya MasasiElias Runeye Mtiruhungwa Mji wa MasasiShamim Daud Mwariko Mji wa NewalaIbrahim John Mwanauta Wilaya ya NanyambaMussa Lawrance Gama Wilaya ya Tandahimba
16. MKOA WA MWANZA:NA JINA KAMILI
Joseph Apolinary Manispaa ya IlemelaLutengano George Mwaliba Wilaya ya MisungwiEmmanuel Luponya Sherembi Wilaya ya UkereweFidelica Gabriel Myovela Wilaya ya MaguSelemani Yahya Sekiete Jiji la MwanzaBinuru Mussa Shekidele Wilaya ya SengeremaPaulo Sosteness Malaga Wilaya ya BuchosaHappiness Joachim Msanga Wilaya ya Kwimba
17. MKOA WA NJOMBE:NA JINA KAMILI HALMASHAURI
Dollar Rajab Kusenge Mji wa NjombeSunday Deogratius Ndori Wilaya ya LudewaWilliam Mathew Makufwe Wilaya ya MaketeKeneth Haule Keneth Mji wa MakambakoMaryam Ahmed Muhaji Wilaya ya Wanging’ombeSharifa Yusuph Nabarang’anya Wilaya ya Njombe
18. MKOA WA PWANI:NA JINA KAMILI HALMASHAURI
Mshamu Ally Munde Mji wa KibahaKuruthum Amour Sadik Wilaya ya ChalinzeHanan Mohamed Bafagih Wilaya ya KisaraweMwantum Hamis Mgonja Wilaya ya MkurangaButamo Nuru Ndalahwa Wilaya ya KibahaShauri Selenda Wilaya ya BagamoyoMohamed Issa Mavura Wilaya ya Kibiti` Kassim Seif Ndumbo Wilaya ya MafiaJohn Lipesi Kayombo Wilaya ya Rufiji
19. MKOA WA RUKWA:NA JINA KAMILI HALMASHAURI
Jacob James Mtalitinya Manispaa ya SumbawangaWilliam Anyitike Mwakalambile Wilaya ya NkasiShafii Kassim Mpenda Wilaya ya KalamboLightness Stanley Msemo Wilaya ya Sumbawanga
20. MKOA WA RUVUMA:NA JINA KAMILI HALMASHAURI
Fredrick Damas Sagamiko Manispaa ya SongeaNeema Michael Maghembe Wilaya ya SongeaSajidu Idrisa Mohamed Wilaya ya MadabaChiriku Hamis Chilumba Wilaya ya NamtumboJimson Mhagama Wilaya ya NyasaChiza Cyprian Marando Wilaya ya TunduruGrace Stephen Quintine Mji wa MbingaJuma Haji Juma Wilaya ya Mbinga
21. MKOA WA SHINYANGA:NA JINA KAMILI HALMASHAURI
Nice Remen Munissy Wilaya ya ShinyangaAnderson David Msumba Mji wa KahamaCharles Edward Fussi Wilaya ya MsalalaLino Pius Mwageni Wilaya ya UshetuEmmanuel Johson Matinyi Wilaya ya KishapuJomary Mkristo Satura Manispaa ya Shinyanga
22. MKOA WA SIMIYU:NA JINA KAMILI HALMASHAURI
Simon Sales Berege Wilaya ya MaswaAdrian Jovin Jungu Mji wa BariadiElizabeth Mathias Gumbo Wilaya ya ItilimaHalid Muharami Mbwana Wilaya ya BariadiVeronica Vicent Sayore Wilaya ya BusegaMsoleni Juma Dakawa Wilaya ya Meatu
23. MKOA WA SINGIDA:NA JINA KAMILI HALMASHAURI
Estehr Annania Chaula Wilaya ya SingidaMichael Augustino Matomora Wilaya ya IrambaJustine Lawrence Kijazi Wilaya ya IkungiMelkizedek Oscar Humbe Wilaya ya ManyoniJohn Kulwa Mgagulwa Wilaya ya ItigiZefrin Kimolo Lubuva Manispaa ya SingidaAsia Juma Mosses Wilaya ya Mkalama
24. MKOA WA SONGWE:NA JINA KAMILI HALMASHAURI
Cecilia Donath Kavishe Wilaya ya SongwePhilimoni Mwita Magesa Mji wa TundumaRegina Lazaro Beida Wilaya ya MombaAbadallah Hamis Nandonde Wilaya ya MboziGeofrey Moses Nnauye Wilaya ya Ileje
25. MKOA WA TABORA:NA JINA KAMILI HALMASHAURI
Shomary Salim Mndolwa Mji wa NzegaKiomoni Kiburwa Kibamba Wilaya ya NzegaBaraka Michael Zikatimu Wilaya ya UramboDkt. Peter Maiga Nyanja Manispaa ya TaboraHemed Saidi Magaro Wilaya ya UyuiJerry Daimon Mwaga Wilaya ya KaliuaSelemani Mohamed Pandawe Wilaya ya SikongeFatuma Omary Latu Wilaya ya Igunga
26. MKOA WA TANGA:NA JINA KAMILI HALMASHAURI
Gracia Max Makota Wilaya ya KilindiIkupa Harrison Mwasyoge Wilaya ya LushotoGeorge Daniel Haule Wilaya ya BumbuliNasib Bakari Mmbaga Wilaya ya MuhezaIsaya Mugishangwe Mbenje Wilaya ya PanganiZahara Abdul Msangi Wilaya ya MkingaSaitoti Zelote Stephen Wilaya ya HandeniNicodemus John Bei Mji wa KorogweMariamu Ukwaju Masebu Mji wa HandeniSpora Jonathan Liana Jiji la TangaHalfan Hashim Magani Wilaya ya Korogwe
Imetolewa na
Jaffar Haniu
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu