Habari zilizo tufikia usiku huu zinasema Mbunge wa MUHEZA Mh Hamis Mwinjuma maarufu kama mwana FA amepata ajali mbaya usiku huu majira ya saa mbili usiku katika maeneo ya Mkambarani mkoa wa Morogogoro.
Tutaendelea kukujuza kadiri turakavyopata taarifa kutoka vyanzo vyetu.
Mungu amponye haraka aweze kurudi kwenye majukumu yake. Amin.