0 0
Read Time:27 Second

WU®

MATATANI KWA TUHUMA ZA KUUA MWANAMKE KWA MALIPO YA SHILINGI MILIONI 1.7: Jeshi la Polisi Kanda maalumu ya Dar es Salaam linawashikilia Kassim Said Abdallah maarufu Baunsa na Charles Gregory White kwa tuhuma za mauaji ya Barke Rashid katika nyumba ya kulala wageni maeneo ya Tabata jijini Dar es Salaam.

Kamanda wa Polisi Kanda maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema Baunsa aliahidiwa malipo ya Shilingi Milioni 1.7 ili atekeleze mauaji hayo na hadi anakamatwa tayari alikuwa ameshalipwa milioni 1.5

Mtuhumiwa wa mauwaji
Happy
Happy
0 %
Sad
Sad
0 %
Excited
Excited
0 %
Sleepy
Sleepy
0 %
Angry
Angry
0 %
Surprise
Surprise
0 %