
Read Time:15 Second
WU®
DODOMA
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Zuhura Yunus kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais – Ikulu. Kabla ya uteuzi huo, Zuhura alikuwa mtayarishaji wa vipindi na mtangazaji wa Idhaa ya Kiswahili ya BBC.
Zuhura anachukua nafasi ya Jaffar Haniu ambaye atapangiwa kazi nyingine.








