
WU® MEDIA
Mwalimu Peter Mhagama ambae ni katibu wa Umoja wa Watanzania Hungary. Kwa niaba ya Umoja wa Watanzania waishio Hungary. Anapenda kuwataarifu Watanzania wanafunzi na wasio wanafunzi ambao waliokuwa wanaishi Ukraine na wamefanikiwa kuingia nchini Hungary kufuatia Hali ya usalama kuwa ya hatari na kivita , Umoja wa Watanzania Hungary unawakaribisha, na ili kupata msaada wa malazi na chakula tafadhali wasiliana nasi kipitia ndugu James Mmari: namba +36204409242 WhatsApp au +255713315104 Mwalimu Mhagama +36706090030
(WhatsApp only); na Hemmy: +36304432437 na kwa wenyeji wanaoishi Hungary tafadhali tuendelee kuwasiliana kwa kuwasaidia ndugu zetu, na pia Mtanzania yeyote atayepata habari hizi mwenye ndugu yake au jamaa aliyoko Ukraine, ampe taarifa hizi anapoingia Hungary
Asanteni sana
Katibu
Mhagama.










