Read Time:11 Second
WU®Media PRODUCTION
Kundi la wanafunzi 11 waliokuwa wamekwama Summy nchini Ukraine wakiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Tanzania nchini Urusi Balozi Frederick Kibuta na Maafisa Ubalozi baada ya kuwasili Moscow nchini Urusi salama