0 0
Read Time:16 Second

WU®Media PRODUCTION

Watanzania wanaoishi Uingereza tarehe 19/03/2022 wameadhimisha siku ya kumbukizi ya mwaka mmoja wa Hayati Dr John Pombe Magufuli,aliyekuwa Rais wa awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Dr John Pombe Magufuli alifariki tarehe 17/03/2021 katika hospitali ya Mzena ambako alikuwa akipatiwa matibabu.

Happy
Happy
0 %
Sad
Sad
0 %
Excited
Excited
0 %
Sleepy
Sleepy
0 %
Angry
Angry
0 %
Surprise
Surprise
0 %