
Read Time:17 Second
WU® Media PRODUCTION LIMITED
Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Grace Alfred Olotu pamoja na maafisa wake wakiwa ktk picha ya pamoja na ujumbe wa kampuni ya Equinor baada ya mkutano uliofanyika kwenye ofisi za Ubalozi. Kampuni ya Equinor ya nchini Norway imewekeza kwenye Sekta ya Gesi nchini Tanzania.









