
WU® Media PRODUCTION LIMITED
TANGAZO
Diaspora Tanzania Royal Tour
Habari,
Kwa wale Diaspora waliosafiri kuja Tanzania kushiriki uzinduzi wa Tanzania Royal Tour.
Na wale walio Tanzania wangependa kuungana na Diaspora na watanzania kwenye Royal Tour Premier tafadhali fanya registration tuma majina yako kwenda namba +358451820920 (WhatsApp Only)
Tanzania Royal Tour Schedul
✓Arusha 28.4.2022
✓Zanzibar 07.05.2022
✓Dar 08.04. 2022
Asanteni.
DiasporaTanzaniaRoyalTour









