0 0
Read Time:27 Second

WU®Media PRODUCTION LIMITED

Mh Celestine Joseph Mushy Balozi wa Tanzania nchini Austria

Mheshimiwa Celestine Joseph Mushy Balozi wa Tanzania nchini Austria akiwasilisha nakala za Hati za Utambulisho kwa Mhe. Balozi Peter Launsky-Tieffenthal, Katibu Mkuu, Wizara ya Mambo ya Nje ya Austria leo Aprili 29,2022. Wakati akiwasilisha hati hizo, Katibu Mkuu alimpatia Balozi zawadi ya korosho ambazo zinalimwa na kubanguliwa Tanzania na Kampuni ya Austria inayojulikana kama Biotan Group Ltd yenye kiwanda kilichopo Mbagala jijini Dar es Salaam. Kampuni hiyo inazalisha na kubangua korosho ambazo ni ‘organic

Happy
Happy
0 %
Sad
Sad
0 %
Excited
Excited
0 %
Sleepy
Sleepy
0 %
Angry
Angry
0 %
Surprise
Surprise
0 %