0 0
Read Time:56 Second

Arusha

WU® Media PRODUCTION LIMITED

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Mkurugenzi wa ldara ya Habari Maelezo na Msemaji wa Serikali Gerson Msigwa kuhusu kazi mbalimbali wanazofanya kuitangaza Serikali katika mabanda ya Maonesho kwenye Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Jijini Arusha tarehe 03 Mei, 2022
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Afisa Mradi wa Asasi ya Kiraia ya Jamii Forums ambao ni waratibu wa Mtandao wa JamiiForums.com Bi. Glory Tausi katika Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari yaliofanyika Jijini Arusha tarehe 03 Mei, 2022.
Wadau mbalimbali wa Sekta ya Habari, Mabalozi pamoja na waandishi wa Habari wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alipokuwa akitoa hotuba yake katika Maadhimisho ya siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari yaliyofanyika Jijini Arusha tarehe 03 Mei, 2022
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Mkaguzi wa Uhamiaji Beatrice Gidion Ngwijo kuhusiana na kazi mbalimbali zinazofanywa na Idara hiyo ikiwemo kuwasaidia Waandishi wa Habari kuingia na kutoka nchini kwa urahisi.
Happy
Happy
0 %
Sad
Sad
0 %
Excited
Excited
0 %
Sleepy
Sleepy
0 %
Angry
Angry
0 %
Surprise
Surprise
0 %