0 0
Read Time:2 Minute, 49 Second

WU® MediaPRODUCTION LIMITED

Na Dr Yahya Msangi

TOGO West Africa

VYEMA TUKUMBUKE KUNA MTANZANIA MWENZETU KWENYE AJALI BURKINA FASO MITA 100/MAILI 60 CHINI YA ARDHI

Zimepita takribani wiki 3 Sasa Toka mgodi WA zinc nchini Burkina ufurike Maji kutokana n’a uzembe dhahiri wa mgodi. Wamiliki ni kampuni Toka Canada. Licha ya baadhi kuokolewa Bado Kuna wachimbaji 8 hawajaokolewa wala haijulikani kama bado wapo hai. Miongoni mwao yupo mtanzania ambaye Mpaka sasa hakuna yaarifa yôyote kumhusu.

Yupo mzambia ambaye taarifa zake zimepatikana na tayari mkewe ameshajulishwa. Kwa mtanzania hakuna taarifa yôyote wala hakuna mawasiliano na familia nchini Tanzania.

Sina uhakika kama wizara yetu inafuatilia kuhusu mtanzania huyu. Léo nimetuma taarifa kwa ubalozi wetu ulio Abuja kuhusu mtanzania huyu.

Kama mtanzania huyu yuko hai (inshaallah) atakuwa anajisikia upweke mnoo! Inasadikika wako km 100 aka maili 60 chini ya ardhi!

Tafadhalini wasilieni na serikali ya Burkina Faso na ubalozi wa Canada nchini ili kupata taarifa kamili na kuweza kuangalia atasaidiwaje na pia family itaarifiwe. Pia agizeni ubalozi wetu utume ujumbe Burkina kufuatilia sakata hili. Huyu ni mtanzania.

Tayari family za wahanga 6 ambao Watu wao bado hawajaokolewa wamefungua mashitaka dhidi ya kampuni ya Canada. Mashitaka matatu: 1. attempted manslaughter, 2. endangering life and 3. failing to assist a person in danger.

Family za mtanzania na mzambia hazijahusika na shtaka hili. Ikiwa Wenzao watashinda kesi hawa hawataambulia fidia!

Kwa upande wake serikali ya Burkina imewaweka “sehemu salama” maofisa wote wa kampuni mpaka shauri liishe.

Fundisho: VIJANA wetu mnapenda NCHI za WATU kutafuta Maisha acheni kujiona mumeukata na kudharau balozi zetu. Ubalozi wetu Abuja unayo orodha ya watanzania wote waliojiandikishe West Africa. Ni juzi tu ubalozi umesambaza upya orodha hii ili watu wahakiki taarifa upya kama kuna mabadiliko. Katika orodha sijaona mtanzania anayefanya kazi kwenye mgodi wa zinc Burkina Faso !

Wee jifanye mmarekani, mnaijeria, mhindi lakini ipo Siku usiyoijia utahitaji serikali yako haswaa Ukiwa kwa watu. Kuna matatizo marafiki na wajinga wenzio hawatayaweza!

Happy
Happy
0 %
Sad
Sad
0 %
Excited
Excited
0 %
Sleepy
Sleepy
0 %
Angry
Angry
0 %
Surprise
Surprise
0 %