Read Time:27 Second
WU® MediaPRODUCTION LIMITED
Na Zainabu Hamisi
Germany
WASANII,WANAMITINDO NA WAJASILIAMALI WENGI KUTOKA TANZANIA KUSHIRIKI MAONYESHO YA TUEBINGEN
Maonesho hayo ya Kimataifa yataanza tarehe 04 .08.2022 hadi tarehe 7.08.2022
Idadi kubwa ya wasanii wa fani mbalimbali,wanamitindo ya mavazi,wakiongozana na wafanyabiashara kutoka Tanzania wanatarajiwa kuwasili mjini Tuebingen kwenye maonyesho hayo ya Kimataifa.
Maonyesho ya 15 ya International Afrika Expo Festival Tubingen 2022, Ujerumani. yatafanyika kwenye viwanja vya Fest Platz ,
Watanzania wote wanakaribishwa na wanasisitizwa kubeba bendera za Tanzania ziwe ndogo au kubwa ili kupeperusha.
TANZANIA KWANZA