Read Time:11 Second
WU® MediaPRODUCTION LIMITED
Mhe. Mizengo P. Pinda, Waziri Mkuu Mstaafu amefanya mazungumzo na viongozi wa Jumuiya za Diaspora hapa Uingereza. Mhe. Pinda amewashukuru Diaspora kwa kuchangia maendeleo ya Tanzania na kuwanasihi waendelee kuunga mkono jitihada za Serikali.