0 0
Read Time:1 Minute, 6 Second

Qatar

USHOGA UWANJANI/QATAR MWIKO! ENGLAND AND WALES WASALIMU AMRI KWA FIFA NA QATAR!

1) Hatimaye Waingereza wameufyata mkia…!

2) Wonderful News indeed baada ya Harakati zao kubwa za kuvuruga Mashindano ya Kombe la Dunia!

3) Tukumbuke Uingereza na Marekani wameendesha Kampeni kubwa sana, na za muda mrefu, za kujaribu kuichafua Qatar na FIFA.

4) Mwanzoni walijaribu sana kutumia kila mbinu (na visingizio) ili Qatar wanyang’anywe Uenyeji wa Mashindano haya…!

5) HONGERA NYINGI SANA KWA FIFA!

6) Tafadhali rejea hiyo Taarifa kwamba Uingereza na Wales wamesalimu amri baada ya FIFA kuwaambia kwamba Timu zao (za Taifa za England and Wales) au Makapteni wao wakivaa Bendera ya Mashoga mkononi, watalimwa Kadi za Njano ile wakiingia tu Uwanjani.

7) HONGERA NYINGI SANA kwa Rais wa FIFA, Gianni Infantino kwa kuwapasha kisawasawa Wazungu na Wamarekani! Tena hadharani!!

8) Tafadhali rejea hiyo video clip umuone Mwamba toka Italy akiwakoromea Wazungu wenzake!

9) Nadhani Gianni Infantino na Giorgia Meloni (Waziri Mkuu Mpya wa Italy) ni Mtu na Dadaake… (if you know what I mean)!

10) Nimechomekea kidogo!

11) HONGERA NYINGI SANA kwa Qatar kwa kusimama imara kulinda Maadili na Utamaduni wa Taifa lao na Dini yao! Aidha, kwa kufanya na kukamilisha vizuri sana (with flying colours) Maandalizi yote kuwezesha Mashindano ya Kombe la Dunia 2022 kuanza jana!

BJC. DSM. 21.11.2022. 1452hrs.

Happy
Happy
0 %
Sad
Sad
0 %
Excited
Excited
0 %
Sleepy
Sleepy
0 %
Angry
Angry
0 %
Surprise
Surprise
0 %