0 0
Read Time:37 Second

BRAZIL

“Mafanikio makubwa maishani mwangu hayajakuwa makombe wala medali, bali kwa kujua kuwa nimewasaidia watoto wengi wa mitaani ambao kwa kunitazama wameelewa kuwa kwa kupigana unaweza kufika popote, kwani hakuna lisilowezekana ukiwa kweli unataka" 
PELE 1940 - 2022

REST IN PEACE KING 


MFALME wa soka Duniani Pelè, ndiye mchezaji bora zaidi kuwahi kutokea, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 82.

Anarekodi ya kufunga mabao 1,281 katika rekodi ya dunia katika mechi 1,363 kwa kipindi cha miaka 21 ya maisha yake, ikiwa ni pamoja na mabao 77 katika mechi 92 za nchi yake.
Pelè ndie mchezaji pekee aliyeshinda Kombe la Dunia mara tatu, akinyanyua taji hilo mnamo 1958, 1962 na 1970, Pele alitangazwa kuwa Mchezaji Bora wa Karne wa Fifa mnamo 2000. 

Happy
Happy
0 %
Sad
Sad
0 %
Excited
Excited
0 %
Sleepy
Sleepy
0 %
Angry
Angry
0 %
Surprise
Surprise
0 %