0 0
Read Time:25 Second

WU® MEDIA

Katika kuendeleza juhudi za kuwawezesha vijana katika sekta ya kilimo, Benki ya Equity kwa kushirikiana na taasisi ya SUGECO siku ya leo imewawezesha wanafunzi 12 wa Chuo Kikuu Cha Kilimo Sokoine Morogoro kwenda kufanya mafunzo ya kilimo Kwa vitendo nchini Denmark, ikiwa ni awamu ya pili ambapo vijana zaidi ya 1000 watanufaika katika mpango huu.

Picha ni Mkurugenzi wa SUGECO -Revocatus Kimario(wa kwanza kushoto) Dr. Anna Temu, mwanzilishi wa SUGECO (katikati) Johannes Msuya – Meneja Mahusiano Benki ya Equity na wanafunzi wanufaikaji.


Happy
Happy
0 %
Sad
Sad
0 %
Excited
Excited
0 %
Sleepy
Sleepy
0 %
Angry
Angry
0 %
Surprise
Surprise
0 %