Rome, Italy
WU® MEDIA
Jacob John Mkunda (CDF) Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na usalama wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,amewasili mjini Rome Italy siku ya jana Jumamosi tarehe 25/02/2023 kwa ziara ya kikazi.
CDF Jacob John Mkunda Pamoja na aliongozana nao wamepokelewa na mkuu wa utawala wa Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Rome Italy Madame Jubilata Shao (HOC) katika Ubalozi wa Tanzania ambako alisaini kitabu Cha wageni.
Picha na ACM
WU® MEDIA, Rome.