
WUยฎ MEDIA
Kabla ya tangazo hili la BOT, masharti ya kufungua account Tanzania yaliwalazimu Diaspora kuwa na Pasipoti ya Tanzania au Kitambulisho cha NIDA. Ambacho Diaspora wenye asili ya Tanzania na Uraia wa nchi nyingine hawakuwa navyo. Sasa sharti hilo halipo tena. Hongera nyingi kwa Mheshimiwa Rais na Serikali ya Awamu ya Sita.












