0 0
Read Time:30 Second

MASHUJAA WANAWAKE WA NCHI YETU KATIKA KUMBUKUMBU SIKU YA WANAWAKE

Bibi Titi Bint Mohamed,akiongoza wanawake wenzie katika maandamano ya kupigania Uhuru wa Tanganyika.

Pichani Bibi Titi Mohamed akiwa mstari wa mbele Pamoja na mashujaa wenzie Bi.Asha Bint Saidi Chamwenyewe, Bi Tatu Mzee wakiwa na akina Mama wenzao kwenye maandamano wakati wa harakati za kupigania Uhuru wa Tanganyika . Picha hiyo ni mtaa wa Mchikichi/Kongo Kariakoo Dar ES Salaam.

Bibi Titi Mohamed pichani mpigania uhuru wa Tanganyika (Tanzania) mwanamke aliyesimama kidete kuhakikisha uhuru unapatika akiutubia mkutano wa harakati za Uhuru jangwani, Dar-es -salaam
EQUITY DIASPORA BANKING

Happy
Happy
0 %
Sad
Sad
0 %
Excited
Excited
0 %
Sleepy
Sleepy
0 %
Angry
Angry
0 %
Surprise
Surprise
0 %