0 0
Read Time:35 Second

Na Mpiga picha wetu Michael Davide

Rome Italy

Marehemu Hamisi Mpini

Watanzania nchini Italy Leo ijumaa tarehe 12/05/2023 wamekutana Rome kumsindikiza Marehemu Hamisi Suwedi Mpini aliyefariki tangu tarehe 16/04/2023 wakati akiwa hospitalini akipatiwa matibabu.

Katika mazishi hayo yaliyoongozwa na Jumuiya ya Watanzania Rome chini ya mwenyekiti wake Ndugu Leonce Uwandameno, Mwenyekiti alitoa shukran kwa Watanzania kwa kujitokeza na wote ambao wamechangia msiba kwa njia moja ama nyingine.

Ubalozi wa Tanzania uliwakilishwa na Mh. Sigfred Nnembuka ambae pia aliambatana na muambata wa Kilimo na mhasibu wa Ubalozi.

Jumuiya ya Watanzania Italia in CAMPANIA iliwakilishwa na Katibu wa Jumuiya Dada Cecilia Lemmah.

DUA
Mwenyekiti wa Rome akitoa shukrani
Happy
Happy
0 %
Sad
Sad
0 %
Excited
Excited
0 %
Sleepy
Sleepy
0 %
Angry
Angry
0 %
Surprise
Surprise
0 %