0 0
Read Time:34 Second

WU® MEDIA

Ubalozi WA Tanzania nchini Uholanzi Kwa kushirikiana na wanadiaspora watanzania wanaoishi Uholanzi Wana furaha kukuletea siku ya Utamaduni wa Mtanzania utakaofanyika Jumamosi, tarehe 24/06/2023.

Sherehe hizo zitafanyika Melis Stokelaan 1175, 2571 GA, mjini The Hague, Uholanzi kuanzia saa 4 asubuhi mpaka saa 2 Usiku.

Kutakuwa na maonyesho ya bidhaa mbalimbali za kitanzania, maonyesho ya ubunifu, mavazi, vipaji, Ngoma na muziki.Kutakuwa na vyakula mbalimbali na vinywaji vya kitanzania Kwa bei nafuu pamoja na Mpira WA miguu na michezo ya asili ya kitanzania.

Taasisi mbalimbali za Tanzania na Uholanzi zinazofanya biashara Tanzania zitawakilishwa siku ya tukio hilo.

Karibu ujiunge nasi kuja kusheherekea utamaduni wetu na kukutana na kufahamiana na wageni mbalimbali.

Happy
Happy
0 %
Sad
Sad
0 %
Excited
Excited
0 %
Sleepy
Sleepy
0 %
Angry
Angry
100 %
Surprise
Surprise
0 %