MSIBA USA NA TANZANIIA
WaTanzania USA tumepatwa na msiba, familia ya Lubango inasikitika kutangaza msiba wa mpendwa wao Chris Lubango msiba uliotokea siku ya Ijumaa Aug 11. 2023 kwa ajali ya gari jimbo la Oklahoma . Marehemu ana mdogo wake mmoja tu Chicago, na kama ilivyo kwa wengi marehemu alikuwepo USA kutafuta maisha huku akiwa ameacha mke na watoto wawili Tanzania.
Mwili Upo funeral home na gharama za kusafirisha mwili ni $12,000,
Mdogo wa marehemu, ndugu jamaa na marafiki wamejitahidi na kufikisha $4,165 bado kuna safari ndefu kufanikisha na hatimae kumpumzisha mpendwa wetu nyumbani Tanzania.
Bado inahitajika $7,835 kufanikisha zoezi hilo.
Naomba tuwashike mkono familia ya Lubango kupitia
Zelle esthybaby09@gmail.com jina Situmai Desire au Cash App $esthyp +1 (312) 504-7413 jina Stumai Desire
Familia ya Lubango inatanguliza Shukrani kwa mchango wako na Mwenyezi Mungu akuzidishie maradufu pale ulipopunguza kwa ajili ya mpendwa wao,
BWANA AMETOA, BWANA AMETWAA NA JINA LAKE LITUKUZWE