0 0
Read Time:15 Second

🇦🇴🇹🇿 Luanda ANGOLA

Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki amewasili jijini Luanda nchini Angola kuwasilisha Ujumbe maalum wa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan , wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Mhe. João Manuel Gonçalves Lourenço, Rais wa Jamhuri ya Angola

Happy
Happy
0 %
Sad
Sad
0 %
Excited
Excited
0 %
Sleepy
Sleepy
0 %
Angry
Angry
0 %
Surprise
Surprise
0 %