
Germany
Bi.Zainabu Ally Hamisi (mtanzania) ni mojawapo wa waliochaguliwa kupewa tuzo ya ” Africa We Want” itakayotolewa nchini ujerumani mwezi June 2025, Bi . Zainabu Ally Hamisi ametambuliwa kama “Ambassador of African Culture ” kwa kuweza kutumia taaluma yake ya uwana habari kusafiri nchi nyingi na kuyawakilisha kwa kuyatangaza maonyesho mbalimbali ya utamaduni ya kimataifa ambayo yamewezesha wafrika wengi kushiriki.
Zainabu Ally Hamisi ni msichana aliyehitimu kutoka Chuo cha Dar es Salaam School of Journalism, Tanzania mkazi wa Dar es salaam pia mwanachama Dira Women Organization (DIWO),