0 0
Read Time:40 Second

Zamzamnews29@gmail.com

Rais wa zamani wa Afrika Kusini Jacob Zuma amepewa ruhusa ya kuhudhuria mazaishi ya kaka yake mdogo, Michael, ambaye anapangwa kuzikwa Alhamisi hii mchana.

โ€˜โ€™Maombi ya Bw Zuma ya msamaha kama mfungwa wa muda mfupi, mwenye kiwango cha chini cha hatari yalishugulikiwa na kuidhinishwa ,” alisema msemaji wa idara ya huduma za magereza , Singabakho Nxumalo, alisema Alhamisi.

Bw Zuma havai sare ya wafungwa wakati wa โ€œlikizo ya msamaha โ€, huku Bw Nxumalo akisema wafungwa hawahitaji kuwa wamevaa sare za jwafungwa wanapokuwa nje ya gereza .

Rais huyo wa zamani kwa sasa anahudumia kifungo cha miezi 15 jela kwa kosa la kutoheshimu agizo la mahakama.

Kufungwa kwake kuliibua ghasia katika jimbo la kwao la KwaZulu-Natal na Gauteng โ€“ ambako zaidi ya watu 200 waliuawa na mamia ya maduka na biashara kuporwa na kuharibiwa.

Happy
Happy
0 %
Sad
Sad
0 %
Excited
Excited
0 %
Sleepy
Sleepy
0 %
Angry
Angry
0 %
Surprise
Surprise
0 %