Read Time:11 Second
Habari Picha
Pichani ni Mh Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi katika moja ya mikutano na Wawekezaji kutoka Oman.
Zanzibar imeendelea kuvutia wawekezaji kutoka kila pande ya dunia.

Habari Picha
Pichani ni Mh Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi katika moja ya mikutano na Wawekezaji kutoka Oman.
Zanzibar imeendelea kuvutia wawekezaji kutoka kila pande ya dunia.
Leo ni siku ya kihistoria kwa Taifa letu. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amezindua rasmi Kituo cha Kuzalisha Umeme cha Julius Nyerere (JNHPP)…
Zanzibar Tanzania na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) zimekubaliana kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi na kijamii katika maeneo ya kimkakati ikiwemo biashara na uwekezaji, kilimo, madini, nishati, usafirishaji, miundombinu, afya…