0 0
Read Time:53 Second

Na Mwandishi wetu WU®

Mjadala wa URAI PACHA kwa Diaspora umekuwa ukiendelea huku ukiwagawa pande mbili, upo upande wa Diaspora ambao wanapinga uraia pacha kwa vigezo vya usalama na udhibiti wa Mali asili hada ardhi na kisiasa,upande mwingine unasisitiza zaidi Uraia pacha na hawataki hadhi maalumu ambayo kwa mujibu wa wenzao Hilo Ndio njia sahihi kwa Diaspora.”

Kama Waholanzi na Waingereza mpaka leo hii wanafungiana madirisha kwenye suala la uraia pacha, nyie nani wa kuilazimisha Tanzania itoe uraia pacha?

Common sense itawale hapa; Hadhi maalumu ni haki za uraia kasoro ushiriki wa siasa. Na inatolewa kwa wazawa wa Tanzania tu.

Kuhoji kama na watoto watapata hadhi maalumu ni kutotumia common sense.
Na kwa mara ya 94 nauliza ni haki gani ya msingi ambayo mtaikosa kwenye hadhi maalumu muipate kwenye uraia pacha.

Nitaanza kutoa dola mia kwa mwenye jibu la kueleweka.” (Post by Zain Kachumbari Diaspora USA)

https://www.fragomen.com/insights/blog/brexit-netherlands-adopts-additional-exceptions-prohibition-dual-citizenship

Wanao miliki ardhi Kenya

https://www.linkedin.com/pulse/biggest-landowners-kenya-mbaya-nicholas

Happy
Happy
0 %
Sad
Sad
0 %
Excited
Excited
0 %
Sleepy
Sleepy
0 %
Angry
Angry
0 %
Surprise
Surprise
0 %