0 0
Read Time:43 Second
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Philio Mpango akiwa katika ziara ya kikazi nchini Singapore ,amekutana na Watanzania wanaoishi nchi Singapore kubadilishana nao mawazo na kuwahakikishia kuwa serikali ya Tanzania inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan, iko karibu na Diaspora na inakaribisha mawazo mapya na hata ukosoaji wenye nia ya kujenga.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akiwa katika picha ya pamoja na watanzania waishio nchini Singapore, mara baada ya kumaliza kwa mazungumzo yaliolenga kusikiliza changamoto zinazowakabili pamoja na kusikiliza ushauri na maoni yao kwa serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Wengine ni Naibu Waziri wa Wizara ya Mmambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Mbarouk Mbarouk pamoja na Balozi wa Tanzania nchini India Baraka Luvanda Novemba 16,2021.
SimbaMoney ndio suluhisho la Diaspora

WABONGO UGHAIBUNI WU®

SimbaMoney s

Happy
Happy
0 %
Sad
Sad
0 %
Excited
Excited
0 %
Sleepy
Sleepy
0 %
Angry
Angry
0 %
Surprise
Surprise
0 %