
Read Time:14 Second
WU®Media PRODUCTION



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu akizungumza na viongozi mbalimbali, wananchi pamoja na wafanyakazi wa CRDB mara baada ya kuzindua jengo la Makao Makuu ya Benki ya CRDB yaliyopo Barabara ya Ali Hassan Mwinyi Jijini Dar es Salaam.








