
Read Time:13 Second
WU® MediaPRODUCTION LIMITED
Tarehe 27 Juni, 2022 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr Philip Mpango ameshiriki na kuhutubia katika Ufunguzi wa Mkutano wa Pili wa Umoja wa Mataifa kuhusu Uhifadhi wa Bahari na Rasilimali zake unaofanyika Lisbon nchini Ureno.











