0 0
Read Time:33 Second

WU® MediaPRODUCTION LIMITED

AHUKUMIWA KWENDA JELA MAISHA KWA KUMLAWITI MTOTO WA KAKA YAKE

Mahakama ya Wilaya ya Muheza – Tanga imemhukumu kifungo cha maisha gerezani Paulo Mngazija (39) mkazi wa Kicheba B kwa kumlawiti mtoto wa kiume wa kaka yake na kumsababishia maumivu makali.

Mshitakiwa alitenda kosa hilo kwa mtoto huyo wa miaka sita Juni 19 mwaka huu.

Kesi hiyo ya jinai namba 65 ya mwaka 2022 ilifunguliwa na kuanza kusikilizwa kwa mara ya kwanza Juni 23, 2022.

Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Wilaya ya Muheza, Yusuph Abdallah Zahoro, amesema mtuhumiwa ametiwa hatiani chini ya kifungu cha 154 cha kanuni ya adhabu sura ya 16, marejeo ya mwaka 2019.

Happy
Happy
0 %
Sad
Sad
0 %
Excited
Excited
0 %
Sleepy
Sleepy
0 %
Angry
Angry
0 %
Surprise
Surprise
0 %